Kasanda John Wibonele na Culix K. Gichana
Wanapenda kuwakaribisha katika harusi yao itakayofanyika
Jumamosi, June 21, 2008.
Unakaribishwa kutoa mchango wako wa harusi kuanzia
sasa hivi hadi April 15, 2008 kwa;
Kasanda Wibonele
758 Parc River blvd
Lawrenceville, GA 30045
Kwa maelezo zaidi wasiliana na wanakamati ya maandalizi ya harusi;
John Kazilo: 678-362-8238
Kasanda Wibonele: 404-936-7808
Tunatanguliza shukrani zetu.
(R.S.V.P April 15, 2008)

























